read and learn..!!
Chunusi
husababishwa na kuongezeka kwa uzalishaji wa Testosterone hormone na
mafuta yamwili wakati wa mabadiliko ya kimwili pia husababishwa na
msongo wa mawazo, matatizo ya kisaikolojia.
Product
kama Tea Tree Oil, Aloe Vera, Zinc, and Vitamin A ni vitu vya kihalisi
vinavyo weza kutibu chunusi na kuna baadhi ya product hazishauriwi
kutumiwa na mtu kama unaujauzito au unatatizo la kiafya hivyo unatakiwa
kuwasiliana na dactari kabla ya kutumia kwa ushauri.
Kabla
ya kuoga ponda nyanya changanya na asali na maji ya roses na paka
nyanya kwenye uso wako kaa nayo kwa muda wa dakika 20 kabla ya kuosha.
Usiku
kabla ya kulala paka mchanganyiko wa cream, glycerine, and lemon juice
kwenye uso wako na kaa nayo kwa muda wa dakika chake kabla ya kuosha.
Pia
jambo la muhumu kwa mtu anayesumbuliwa na chunusi ni kunywa maji kwa
angalau lita 3 kila siku pia ni muhimu sana kwa ngozi yako, matunda
fresh na mboga za majani kwenye diet yako.
Vitu unavyotakiwa kuepuka ni kugusa uso wako mara kwa mara, epusha nywele kugusa uso wako na kutumbua chunusi kiholela.
Pia epuka kupaka make up nyingi usoni ni vizuri kutopaka make up kabisa ukiwa na tatizo la chunusi.






